LimaAlfa Member Joined Dec 22, 2015 Posts 37 Reaction score 19 Dec 25, 2015 #1 Salaam wenyeji humu. Nina furaha kujiunga nanyi JF. Ni ukweli kuwa jukwaa hili ni zaidi ya habari, kwani nimefaidika sana na michango na debate zenu nikiwa nje. Mnipokee labda nami nichangie niyajuayo. Ahsanteni
Salaam wenyeji humu. Nina furaha kujiunga nanyi JF. Ni ukweli kuwa jukwaa hili ni zaidi ya habari, kwani nimefaidika sana na michango na debate zenu nikiwa nje. Mnipokee labda nami nichangie niyajuayo. Ahsanteni
N nasamu100 JF-Expert Member Joined Mar 31, 2015 Posts 201 Reaction score 32 Dec 26, 2015 #2 Karibu muungwana
Nkungulume JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 2,987 Reaction score 1,209 Dec 26, 2015 #3 Karibu Mjomba
LimaAlfa Member Joined Dec 22, 2015 Posts 37 Reaction score 19 Dec 26, 2015 Thread starter #4 Pamoja muungwana, ingawa nilitakiwa nianzie sebule ilee.
LimaAlfa Member Joined Dec 22, 2015 Posts 37 Reaction score 19 Dec 26, 2015 Thread starter #5 Ahsante
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Dec 26, 2015 #6 Krb sana JF...
LimaAlfa Member Joined Dec 22, 2015 Posts 37 Reaction score 19 Dec 26, 2015 Thread starter #7 Hivi ninapotaka hamisha topic kwenda sebule ingine nafanyaje wandugu?