allesandro 2021
Senior Member
- Feb 10, 2021
- 142
- 156
Kabla ya yote unapaonaje Zanzibar beach resort (Formerly - Reef hotel) na mazingira yake au eneo la hapo Mazizini?Habari wana jukwaa. Napenda kutumia fursa hii kuuliza mawili matatu kuhusu Zanzibar. Mimi nipo Zanzibar (Unguja) kikazi kuanzia Jumapili tarehe 1 Agost hadi Ijumaa tarehe 6 Agosti. Mimi ni mwanaume na ni mgeni kabisa hapa kisiwani.
Naomba kwa anayefahamu anijuze maeneo gani ya kujirusha jioni baada ya kazi (penye muziki,vinywaji,chakula na totoz).
Mimi nimefikia Zanzibar Beach Resort.
Ahsanteni