Hodi

Habari zenu wana jf,

Mi ni mgeni wenu ingawa nimekuwa nikiitumia JF kama chanzo cha habari kwa zaidi ya miaka 4.
Sasa nimeona nijiunge rasmi....Naombeni ushirikiano wenu.
Karibu. Mbona unakuja na mkwara wa genetics!

cDNA=In genetics, complementary DNA (cDNA) is double-stranded DNA synthesized from a single stranded RNA (e.g., messenger RNA (mRNA) or microRNA (microRNA)) template in a reaction catalysed by the enzyme reverse transcriptase. cDNA is often used to clone eukaryotic genes in prokaryotes.
 
Mlango umesindikwa tu... sukuma uingie... karibu sana!!
 
Mlango umesindikwa tu... sukuma uingie... karibu sana!!
Bora hivyo mmeusindika tu, maana jf wageni wengi kila dakika...tungewatia taklifu wenyeji wetu kuja kufungua mlango kila mara. Ha ha ha!....ASANTE SANA.
 
Mwe mwe mweee...heshima yako Retired! Naona wanishushia nondo, mi mgeni tu ila huwa napenda sana hiki kitu wanachokiita DNA. Nashukuru sana kwa ufafanuzi wako.
AHSANTE SANA.
 
Hakuna cha ugeni wala nini sema ume-change ID
Ha ha haaa! Mi si mwanasiasa. Ningekuwa mwanasiasa ndo ningelazimika kujibadili badili ili kuendana na watu...au kutetea hoja zangu za kisiasa.
 
Mwe mwe mweee...heshima yako Retired! Naona wanishushia nondo, mi mgeni tu ila huwa napenda sana hiki kitu wanachokiita DNA. Nashukuru sana kwa ufafanuzi wako.
AHSANTE SANA.
Hakuna nondo hapo kijana, hii ni basic genetic engineering ya kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…