Hodi

Karibu mkuu.
Taja
Jinsia...
Umri...
Kapicha tukusaidie kubandika kwenye profile...
Elimu....
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Jamani naomba ushirikiano wenu mm ni member mpya wa jf
Zijue sheria na kanuni za humu.

1.hap sio Facebook kila thread utoe maoni.

2.angalau ujue kusoma na kuandika kingereza Cha kuombea maji

3 asilimia kubwa ya humu ni wake za watu so please jifunze kua na heshima na kila mwanamke utakae muona humu..


4.Hautakiwi kua offline..nikiona haupo online nafuta akaunti yako..

Lazima kila mtuu umamkie

Sawa kijana[emoji1787]



Jus 4 funyy my Young brother [emoji1787][emoji1787]



Karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…