Hodi!

Hodi!

haya nimekuwa wa kwanza kukukaribisha
niahidi kuwa nitakuwa rafiki yako no.1

hao wengine wa ziada tu..[emoji2]

KARIBU...
 
haya nimekuwa wa kwanza kukukaribisha
niahidi kuwa nitakuwa rafiki yako no.1

hao wengine wa ziada tu..[emoji2]

KARIBU...
Asante we ndo rafiki Namba moja humu jf nashukuru sana
 
Njo PM nikupe malekezo zaidi tena ikiwezekana tuma namba yako ya simu ili iwe rahisi usije ukawa unapata BAN bure humu . Maana moderator humu hawataki sport sport/.
 
Njo PM nikupe malekezo zaidi tena ikiwezekana tuma namba yako ya simu ili iwe rahisi usije ukawa unapata BAN bure humu . Maana moderator humu hawataki sport sport/.
[emoji15][emoji15][emoji15]ooh kumbe
 
wao you are most welcome kwenye jukwaa letu hili jisikie uko nyumbani, atakae kukera niambie mama, halafu uje inbox
 
karibu sana, njoo pm kuna kitu ningependa ukijue kuhusu masharti ya humu usije ukapigwa ban bure na mimi nipo fanya fasta!!!
 
karbuuu sana,blank page hapa.namba yangu ile ile nitext napatikana...
 
Uje pm nikuelekeze namna ya kutumia jf husijwe pigwa ban
 
Back
Top Bottom