Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 749
Nawatumia vipi, ninaomba maada. Naweza kutuma kitambulisho cha taifa.Watumie Moderators maombi yako ukiambatanisha na nakala ya kitambulisho halali kinachokubalika hapa nchini
Kwa email support@jamiiforums.com au watumie ujumbe inbox hawa watu JamiiForums Invisible ModeratorNawatumia vipi, ninaomba maada. Naweza kutuma kitambulisho cha taifa.
Verified users hatulipi mkuu...wale Premium BRONZE, GOLD, PLATNUM na TANZANITE MEMBERS ndio huwa wanalipa Ada kila muhulaUsisahau na ada ya 50,000 kwa kila mwezi ili uweze kutumia JF. Tuma kwa MPESA au TIGOPESA. Nakupm namba za simu.
Hiyo picha mbona kama ya Jamal El Fayeed the president of abudeen!? Acha uongo we mzee
Usisahau na ada ya 50,000 kwa kila mwezi ili uweze kutumia JF. Tuma kwa MPESA au TIGOPESA. Nakupm namba za simu.
Kwa email support@jamiiforums.com au watumie ujumbe inbox hawa watu JamiiForums Invisible Moderator
KITAMBULISHO CHA TAIFA NI SAWA KABISA MKUU
Naona ni vyema tukajuana maana kuna wengi nafanya nao biashara kupitia hapa lakini hatujawahi kuonana.sasa verified ya nini!
Haw kwann wanatakiwa kulipia au sababu ya kulipia ni nn haswa..?Verified users hatulipi mkuu...wale Premium BRONZE, GOLD, PLATNUM na TANZANITE MEMBERS ndio huwa wanalipa Ada kila muhula
Haw kwann wanatakiwa kulipia au sababu ya kulipia ni nn haswa tofauti na member wengine..?Verified users hatulipi mkuu...wale Premium BRONZE, GOLD, PLATNUM na TANZANITE MEMBERS ndio huwa wanalipa Ada kila muhula
Hawa wanaipenda JF ndio maana...ili iweze kujiendesha kunahitajika gharama sasa wao wanaichangia....Tofauti wao wana Jukwaa lao ambalo huwa wanashirikishana fursa mbalimbali zilizo serious..pia wanaweza kujumuika kwenye majukwaa haya ya kawaidaHaw kwann wanatakiwa kulipia au sababu ya kulipia ni nn haswa tofauti na member wengine..?