Hodi

Hodi

uncle Lee

Member
Joined
May 12, 2018
Posts
13
Reaction score
4
Hellow wana JF mu hali gani mimi mgeni jamani napenda sana kufuatilia mada zenu ila leo nimejiunga rasmi ila kuna vitu vinanichanga hasa kwenye hii app ya JF
 
Sasa mbona umelegeza macho namna hyo mtoto wa kiume? Anyway karibu JF
 
Mbona umelegealegea hivo..kaza sura mtoto wa kiume wewe,oohooo!!
 
Hata Bilali mashauzi alikua anakaza sasa we unalegeza vp mjomba
 
Kabla ya kukaribishwa unakula za USO kwanza
 
Back
Top Bottom