Hodi

Hata na sisi tunafurahi kwa ujio wako, karibu sana.
 
Asante sana
Wewe kweli mgeni, sasa unapojibu uwe unaquote kama hivi usiwe unajibu kama unakomenti.......hahahhahhah

Maana hapo haieleweki hata umeanza kumjibu nani yaani hujazingatia itifaki.
 
Karibu sana JF mjukuu wetuu hapa kwa GT upate kufaidipo...........
 
Wewe kweli mgeni, sasa unapojibu uwe unaquote kama hivi usiwe unajibu kama unakomenti.......hahahhahhah

Maana hapo haieleweki hata umeanza kumjibu nani yaani hujazingatia itifaki.

Hahaha nadhani nimeweza sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…