Hodi

Hodi

Joined
Jul 14, 2021
Posts
5
Reaction score
31
Habari zenu...

Mimi ni kijana wa kiume nakuja kwenu waungwana mnipoke na mnikaribishe

Nawatakia kazi njema
 
Karibu... Mwenyeji humu kwa ID nyingine..!? Maana hamchelewagi kusema, KWA HILI NINALOTAKA KULIANDIKA, NIMEFUNGUA ID NYINGINE
 
Kengele ya mapumziko ilikua inasubiriwa kwa hamu sana enzi za shule
 
Back
Top Bottom