Hodi

TILA

Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
18
Reaction score
4
Hodi wanajukwaa, kwakuwa hii ni post yangu ya kwanza, naomba nianze kwa kuwasalimia na kuwapongeza kwa kazi kubwa na nzuri ya kuijenga Tanzania Mpya na yenye Neema
 
Moderator tafadhari hemu ipeleke hii post mahala pake.
 
ka kuwa hii ni post yako ya kwanza weka japo picha yako, ndio utaratibu
Hodi wanajukwaa, kwakuwa hii ni post yangu ya kwanza, naomba nianze kwa kuwasalimia na kuwapongeza kwa kazi kubwa na nzuri ya kuijenga Tanzania Mpya na yenye Neema
 
Karibu jamvini TILA
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…