Hodi wanajamvi,
Nimekuwa nikiangalia jamii forums kama guest lakini nilikuwa sina uwezo wa kupost na kucomment.
Nimejiunga kwa hiyo ninauwezo sasa wa kupost na kuchangia mada.
Naombeni mnipokee.
unamkaribisha na kumpokea pia.Apigaye hodi hupokewa au hukaribishwa? Mimi sikupokei JF bali ninakukaribisha JF, KARIBU SANA!