Hodi

Hodi

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
15,340
Reaction score
1,570
Hodi wanajukwaa, nami nimeona niungane nanyi katika jukwaa hili mahiri la kudadavua mambo kwa lengo la kuijenga nchi yetu. Naahidi kutoa ushirikiano kadri ya uwezo wangu.
 
Karibu sana tupambane hali si shwari sana majanga kila upande.
 
inakuwaje tena mwenyeji kuomba kukaribishwa?

Back
Top Bottom