Hodi wanajukwaa, nami nimeona niungane nanyi katika jukwaa hili mahiri la kudadavua mambo kwa lengo la kuijenga nchi yetu. Naahidi kutoa ushirikiano kadri ya uwezo wangu.
Huyu jamaa atakuwa aliingia bila ya hodi.inakuwaje tena mwenyeji kuomba kukaribishwa?
Huyu jamaa atakuwa aliingia bila ya hodi.