OOh Asanteni!
Nilitekwa na utamu wa mambo humu Dimbani!
Kweli JF ipo juu!
Nashukuru sana kwa makaribisho
Mimi ni wa jinsia ya KIUME
Uraiani ni Babab wa Mtoto mmoja wa kiume ;yupo chekechea mwka wa 2; na ofcoz shemeji/wifi yenu yupo tunaishi wote hapa hapa katiak nchi yetu Tukufu ya Tanzania.
Yes nawapenda niktuma tuliomo humu ni Watanzania wenzangu;najiskia furaha na najivuni kuitwa MTANZANIA!
Hongereni wenyeji wangu; kazi mnayoifanya kuelimisha jamii si haba na malipo yake yameishaanza kuonekana ikiwa ni pamoja na mimi kujiunga !
Asanteni na mubarikiwe!