Hodi

Hodi

lagusya

Member
Joined
Feb 26, 2010
Posts
17
Reaction score
1
Napenda kuwasalimu wote,nafurahi kuwa pamoja nanyi ,nawatakia siku njema
 
Kabla ya kukukaribisha ningependa na mie nidandie hodi yako,mie pia ni mgeni wa JF,nimeamua kuomba lift ili nisiwachoshe wananzengo.Natumaini nimekaribishwa na kupokelewa hivyo nina weza kukukaribisha pia.
Ahsante,
Jack Beur
 
We utakuwa wa mgodini................ anyway, karibu
 
Back
Top Bottom