Kilian Karibu sana. Ila mbona unabisha Hodi wakati upo Sebulen?
Maana naona kama thread yako ni ya 6 kama sijakosea? Au unabisha hodi kwa mara nyingine? Maana nyie watoto wa kinyalu mnaheshima nyie hata wajukuu zenu huwa mnawasalimia!
Asante. ila na wewe haujasema kama ni she/he, hivyo nashindwa kukuaddress. Mimi ni "he", nimeoa na nina familia, ni mtu mzima, sio kijana.najua nitawafaidisha wengi pia kwa utu uzima wangu. asanteni.