hodi. mimi ni msichana moja nchi ya uchina, ninajifunza kiswahili.
Bwana Globu, asante.Karibu JF. Sheshee!!
hodi. mimi ni msichana moja nchi ya uchina, ninajifunza kiswahili.
Bwana Globu, asante.
inaonesha unajua kichina.
Mmmmh,,,,,,We ni feki.
Karibu sana jamvini.
Bwana Globu, asante.
inaonesha unajua kichina.
Karibu jamvini!
Kwa kichina twasemaje "karibu"?
Huyu si feki, ni halisi mkuu