T Twinky Senior Member Joined Jun 10, 2010 Posts 114 Reaction score 23 Sep 2, 2010 #1 Hi guys.... Jamani nabisha hodi... naomba ridhaa yenu niwe mwanachama mpya wa jamii hii :behindsofa: Twinky
Hi guys.... Jamani nabisha hodi... naomba ridhaa yenu niwe mwanachama mpya wa jamii hii :behindsofa: Twinky
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Sep 2, 2010 #2 Karibu sana. Naomba kujua jinsia yako, maaana huku kila mtu yuko busy na kupata kifaa kipya
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 4,998 Sep 2, 2010 #3 https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/welcome.gif nasubiri post yako ya pili!
https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/welcome.gif nasubiri post yako ya pili!
Dreamliner JF-Expert Member Joined Jan 17, 2010 Posts 2,034 Reaction score 214 Sep 2, 2010 #4 Karibu.. Jibu basi swali?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Sep 2, 2010 #5 Lazima itakuwa natafuta mwenzi mwenye kichwa kikubwa kiasi kwamba akiwaza watu walio jirani naye wanamsikia
Lazima itakuwa natafuta mwenzi mwenye kichwa kikubwa kiasi kwamba akiwaza watu walio jirani naye wanamsikia
T Twinky Senior Member Joined Jun 10, 2010 Posts 114 Reaction score 23 Sep 2, 2010 Thread starter #6 ni mwanamke mtanzania halisi
T Twinky Senior Member Joined Jun 10, 2010 Posts 114 Reaction score 23 Sep 2, 2010 Thread starter #7 Nashukuru sana kwa kunikaribasha... Teach me when I go wrong..... kama mjuavyo kuku mgeni...
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Sep 2, 2010 #8 Twinky said: ni mwanamke mtanzania halisi Click to expand... Karibu sana dada!