Hodi

clarakanaeli

New Member
Joined
May 11, 2015
Posts
3
Reaction score
0
Wanajamvi nawapenda nyote kwa kipnd kirefu nmekuwa nikiwafuatilia nimejifunza mengi sanaaaaa nmeona si vibaya nikiwa mwana JF... Sema nn hivi huku ni mwiko kutaja Jina lako halisi???
 
Karibu sana JF...

Hakuna mahali unakatazwa kutumia jinalo halisi...
 
Karibu sana JF mjukuu wetu sie wakongwe.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…