karibu ila mmmmmmmmmh umekuja kipindi kibaya kweli ndugu yangu ambapo members wote humu zimeshafyatuka juu ya siasa za dodoma na utuvumilie tu kwa kipindim hiki kwa mrejesho wa majibu utakayokuwa unayapata na kikubwa ambacho nakusihi wewe humu usiwe unamsikiliza mtu yoyote zaidi ya mimi tu " mgeni mwenyeji " sawa? jitahidi tu uwe unanishirikisha sana ktk mambo yako haswa ya kifamilia. naomba kuuliza umeoa? napenda mno kuwa na marafiki na wageni kama nyie mliokwishaoa ukizingatia mimi bado sijaoa na huwa napenda sana kupata ushauri kwa wanandoa nyie kama wewe au mkeo ila sana sana mkeo. wengine wote humu " wasikilize " ila mimi " nishirikishe na niamini ". karibu " mgeni mwenyeji ".
Mkuu sijaoa please.