hodihodi jf

hodihodi jf

nyanya ntore

Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
7
Reaction score
3
Ndugu zangu wa jukwaa hili mu wazma?
Mimi ni mgeni ktk jukwaa hili, ila kwa mda mrefu nmekuwa mfuatiliaji wa karibu sana wa threads zinazoletwa hapa jukwaani. Hivyo nmevutiwa na jinsi wadau wanavyopambanua mambo, hivyo naombeni ukaribisho wenu
nawasilisha!
 
Karibu mkuu nyanya ntore ingawa chungu..............Samahani hili jina lako limenikumbusha ntore yaani ndulele
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom