Ndugu zangu wa jukwaa hili mu wazma?
Mimi ni mgeni ktk jukwaa hili, ila kwa mda mrefu nmekuwa mfuatiliaji wa karibu sana wa threads zinazoletwa hapa jukwaani. Hivyo nmevutiwa na jinsi wadau wanavyopambanua mambo, hivyo naombeni ukaribisho wenu
nawasilisha!