M Mp Kalix2 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 5,940 Reaction score 3,047 Oct 6, 2010 #1 Salaamu nyingi ziwafikie naomba kupokelewa.Nimekuwa mgeni wa jamii hii kwa muda kidogo lakini nimefikia uamuzi wa kujiunga na kushiriki mijadala mingi inayoanzishwa hapa na washiriki katika forum hii. Wana ndugu narudia kuomba kupokelewa.
Salaamu nyingi ziwafikie naomba kupokelewa.Nimekuwa mgeni wa jamii hii kwa muda kidogo lakini nimefikia uamuzi wa kujiunga na kushiriki mijadala mingi inayoanzishwa hapa na washiriki katika forum hii. Wana ndugu narudia kuomba kupokelewa.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Oct 6, 2010 #2 karibu sana