kikaango Member Joined Sep 2, 2009 Posts 18 Reaction score 0 Sep 3, 2009 #1 Nimechoka kuangalia humu kimiakimia sasa nabisha hodi kabisaaaaaaaaaaa naomba mnikaribishe! Kama kawaida hiki ni kikaango hakichagui mboga, twende kazi.
Nimechoka kuangalia humu kimiakimia sasa nabisha hodi kabisaaaaaaaaaaa naomba mnikaribishe! Kama kawaida hiki ni kikaango hakichagui mboga, twende kazi.
The Farmer JF-Expert Member Joined Jan 7, 2009 Posts 1,658 Reaction score 559 Sep 3, 2009 #2 Karibu ndani ya JF - "The Home of Great Thinkers"