Hodihodiii

neha mimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
344
Reaction score
152
Habar zenu wapendwa,mim mgeen kabisa hapa jf ila nilikuw naifuatilia long t kusoma post mbalimbali na coments za watu jinc wanavyochangia nmevutiwa nmeamua kuwa mwanachama rasmi.......thaaaanx
 
Ila nyorosha lugha
 
Asanten sn......hy "nitanyorosha" mkuu mshana jr
 
Last edited by a moderator:
Mbona umeingia na viatu? Sharti la kwanza ni kuvua viatu vyako na kukaa mkekani sio kwenye kistuli....ha ha haaa. Karibu sana kijana
 
Nimekuwa msomaji Wa post mbalimbali hapa jamvini,hatimaye nimeamua kujiunga,tafadhari naomba mnipokee na kunifundisha,ahsanteni sana
 
Habar zenu wapendwa,mim mgeen kabisa hapa jf ila nilikuw naifuatilia long t kusoma post mbalimbali na coments za watu jinc wanavyochangia nmevutiwa nmeamua kuwa mwanachama rasmi.......thaaaanx
Karibu sana jamvini
 
habari nimekuwa msomaji sana wa post za JF so naombeni mnipokee ili tubadilishane hili na lile asanteni
 
Habar zenu wapendwa,mim mgeen kabisa hapa jf ila nilikuw naifuatilia long t kusoma post mbalimbali na coments za watu jinc wanavyochangia nmevutiwa nmeamua kuwa mwanachama rasmi.......thaaaanx

Karibu JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…