Hodii,naombeni muongozo mm mgeni humu

Hodii,naombeni muongozo mm mgeni humu

smatskills

Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
30
Reaction score
19
Habari ndugu zangu, mm mgeni humu, ni vitu gani humu vinafanya nifurahi bila kuwa banned, asante sana
 
Salama, karibu mgeni jaribu kupitia sheria za jf hope utaelewa na kupata majibu ya maswali yako
 
majibu utapewa according to ur gender,je wewe ni Me au Ke?
 
Isijekuwa We ndo yule HR 666 umeingilia dirishani, Anyway karibu asee
 
Back
Top Bottom