Mimi ni mgeni katika jukwaa hili huru la jamii forum, nawaheshimu sana wenye uzoefu na jukwaa hili, nikimaanisha niliowakuta jukwaa hili,limekua ni jukwaa tegemezi sanaaa kwangu hasa kwa kujifunza mengi kwa zaidi ya miaka 6,nyaanja za siasa,mahusiano na uchumi, bila kusahau kupata habari kwa wakati zisizo na upendeleo.
Mtazamo wangu ni kushirikiana na wadau wote katika kujifunza na kuongezeana uwanja wa kufikiri zaidi juu ya uhalisia wa maisha yaliyoko mbele yetu.Nikaribisheni na nipo tayari kujifunza mazuri ya walionitangulia katika majamvi tofauti ya jukwaa hili.Mwisho asante sana Invisible kwa ukaribisho wako mkunjufu.
Asanten sana.