Hodii wana jf, ndo nmeingia kundni hvo.

Karibu Sana.

Jukwaa Gani Lilikuvutia Zaidi?
 
Hodi wana jamvi!,sio mgeni kiviile ila tu nilikuwa sijaji introduce....!
 
Karibu sana, mimi pia sio mwenyeji sana ila utawakuta wenyewe watakujulisha kona zote za jumba hili. Ukitaka tuonane uwe unakuja basi kwenye kijiwe cha mabisiness na wajasiliamali tubadilishane mawazo. Sasa mbona uko mikono mitupu au ndo umeshamaliza zawadi zote? Si unajua mgeni njoo mwenyeji apone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…