Hodii wana JF.

kimodo

Member
Joined
Jan 14, 2016
Posts
70
Reaction score
40
Habari zenu wana JF??

Naomba ushirikiano wenu humu JF
 
tupia foto lako kabla hatujaongea mengine.....btw you're welcome.
 
Karibu sana.. huku kuna makapuku na wakongwe... Halafu kuna wanasiasa na wachambuzi wa ndege.. kikubwa usilete ujuaji wa facebook.. vinginevyo Karibu sana...
 
Karibu sana.. huku kuna makapuku na wakongwe... Halafu kuna wanasiasa na wachambuzi wa ndege.. kikubwa usilete ujuaji wa facebook.. vinginevyo Karibu sana...
nashukuru sana mgibeon na nmekuelewa....
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…