Hodii

Karibu aisee..n.z.i wa mange kimambi wasikumbue..fukuza tu kwa mkono..
 
Kichwa changu siwezi kukitumia kwenye kukariri bali nakitumia kwenye kufikiria zaidi
Sasa kulipenda ilo lichama, utasema kichwa chako kinafikiri Kwel [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Karibu Achana na Hawa nyumbu.. Wana CCM wenzako Tupo wengi Sana kama wote vile.. Karibu
 
Mkuu umekopi username ambayo nilitaka kuitumia baada ya kuchukua kadi ya chama pendwa Jumatatu.
 
Mkuu umekopi username ambayo nilitaka kuitumia baada ya kuchukua kadi ya chama pendwa Jumatatu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Usijali mkuu mbona hata wewe unaweza kutumia[emoji4] [emoji4] Jaribu kufanya editing kidogo
 
Rudi na I'd yako ileile mbona mnapenda kujiabisha wageni wenyeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…