Calvin de Charzy
Member
- Feb 16, 2019
- 8
- 12
Duh....kama fb flani.kwa majina naitwa Calvin de Charzy (C.d.C).Ni mtoto wapili katika familia ya Peter Mbuya. nimezaliwa Arusha. na ninaishi Arusha.ninamiaka isiyopungua 21. pia ni mjasiriamali mdogo.pia mfanyabiashara .nisingependa kuongea sanaaaa! maana naweza nika jaza page yote hi kwa kujitambulisha tyu! ahsanten! ila kitu ninacho waomba ni ushirikiano.... only that!..