Hodii

Karibu kijanaaaa,
Nakutahadharisha usije ukautosa uzalendo wako maana 2/3 ya members humu wanatamani wamwage mboga na ugali ili tukose wote. Kama huna uvumilivu vizuri kuchungulia tu.
Ila in jukwaa lenye kukomaza bongo
 
ahsante saaaaana mkuu
 
Karibu sana mgeni,ila kule endelea kuchungulia tu,mengine usiguse,hasa kile chumba namba tano.
 
Karibu sana mgeni,ila kule endelea kuchungulia tu,mengine usiguse,hasa kile chumba namba tano.
Kama anachunguliaga na amekiri anapenda siasa ni wazi tayari ana upande wake. Rangi zake zitaonekana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…