Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Wazee wq kukamiaaq.. kalanga mbichi robo mchuzi wa pweza wa elf 3, juisi ya tende elf 4, dona na kichuli. Unaend na mazoez kilometa tano na eneji mbili, nazi tatu πHadi maji aite mma πππ
Mkuu ushawahi!?Karibu sana baby wangu
Unahakikisha mwendo aliokuja nao tofauti na anao ondoka nao πππWazee wq kukamiaaq.. kalanga mbichi robo mchuzi wa pweza wa elf 3, juisi ya tende elf 4, dona na kichuli. Unaend na mazoez kilometa tano na eneji mbili, nazi tatu π
Aaahaaa
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.Nimekuwa mfuatiliaji mwezi mzima nimeona na mie nijiunge, rasmiii.
Naombeni mnikaribisheee jamani.