Hodii

Hodii

Chelian

Senior Member
Joined
Oct 1, 2012
Posts
107
Reaction score
40
hodii, mi mgeni jaman :A S 12:
tena bado mdogo
ndo naanza kujifunza vya humu
nikaribisheni mwenzenu:A S embarassed:
 
hodii, mi mgeni jaman :A S 12:
tena bado mdogo
ndo naanza kujifunza vya humu
nikaribisheni mwenzenu:A S embarassed:
KARIBU mwaya sa mbona unaanza kulia tena?u okey?
 
...Asante mwaya snowhite,clii ila nna huzuni maana sehemu nilioingia nahisi sio yenyewe!!!!!!!!!
ila ukinifuraisha ntafurahia kuendelea kuwepo humu!
 
hahahhhahahhhhahh humu ndo mambo yote humu!yani step zako tu ukizicheza sawa ah mbona utaona raha!ila chonde chonde kuna ndoa za watu humu!anaahahahahahhaa
 
Huyu mgeni katoka shule leo, si unajua form four ndo wanaanza kujipanga upya? Wanaenda f.5 hawajui kusoma!
 
hahahhhahahhhhahh humu ndo mambo yote humu!yani step zako tu ukizicheza sawa ah mbona utaona raha!ila chonde chonde kuna ndoa za watu humu!anaahahahahahhaa

kwani na ww una ndoa?
 
Back
Top Bottom