KARIBU mwaya sa mbona unaanza kulia tena?u okey?hodii, mi mgeni jaman :A S 12:
tena bado mdogo
ndo naanza kujifunza vya humu
nikaribisheni mwenzenu:A S embarassed:
9 tu wangu!
...Asante mwaya snowhite,clii ila nna huzuni maana sehemu nilioingia nahisi sio yenyewe!!!!!!!!!
ila ukinifuraisha ntafurahia kuendelea kuwepo humu!
hahahhhahahhhhahh humu ndo mambo yote humu!yani step zako tu ukizicheza sawa ah mbona utaona raha!ila chonde chonde kuna ndoa za watu humu!anaahahahahahhaa