Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Jamani naomba mnisaidie jinsi ya kubadilisha username humu jf.. Nimehangaika all day
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
karibu sana JF.............
Jamani naomba mnisaidie jinsi ya kubadilisha username humu jf.. Nimehangaika all day
Hiyo haiwezekaniki mpaka uwasiliane na wenye mji
Ndio sisi, hebu toa sababu za msingi za kubadili hiyo ID yako....Wenye mji si ndo ninyi
Ndio sisi, hebu toa sababu za msingi za kubadili hiyo ID yako....
acha uoga wewe....Naona hii inanitambulisha kabisa... Sitakua free
Ahahahaa Katavi mwache mgeni wetu awe free bhanaaaaaacha uoga wewe....