Shkamoni wakubwa zangu, wenzangu; habari zenu., wadogo zangu; marhabaa. Nafurahi leo kujitambulisha rasmi baada ya kuwa mdowezi kwa kipindi kirefu kiasi. Nakushukuruni kwa kunipokea.