Hodiii.......... mpaka ndan

Hodiii.......... mpaka ndan

ndetia

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2012
Posts
616
Reaction score
669
Jaman mim ndio kwanza najiunga na Jf hamjambo? mim ni me
 
mmmh!.............karbu mwaya ila watujia na nini?
 
Umekosea mlango wa kupitia,......sio huku, pitia mlango wa utambulisho.............
Yaani hodi mpaka chumbani...................!
 
we mi navaa ukirudi barazani usiseme ulichoona.
 
Umekosea mlango wa kupitia,......sio huku, pitia mlango wa utambulisho.............
Yaani hodi mpaka chumbani...................!

Huyu ni msukuma mwenzangu huwa tunapiga hodi tukiwa ndani usimlaumu.
 
Huyu ni msukuma mwenzangu huwa tunapiga hodi tukiwa ndani usimlaumu.
mbalu ...... Mwabhejah... nimekuelewa ....................... haya karibu..................LOL
 
Last edited by a moderator:
thanks nimeshakaribia, humu hamna party ya kukaribisha wagen?
 
haya ingia ndani,
anza vinjari ujue mitaa usipotee,
karibu saana
 
Back
Top Bottom