Hodiii, Salaam alekhum wana JF

Hodiii, Salaam alekhum wana JF

chameleon

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2013
Posts
555
Reaction score
170
Poleni wanajf kwa msiba wa mwanamapinduzi wa afrika Nelson Mandela aliyekubali kuendelea kukaa jela kuliko kuachiwa huru chini ya utawala wa ubaguzi wa rangi wa makaburu wa Afrika Kusini.
 
Asante sana. Karibu sana jf.
 
karibu karibu sana bila shaka umekuja na rambirambi kabisa
 
Poleni wanajf kwa msiba wa mwanamapinduzi wa afrika Nelson Mandela aliyekubali kuendelea kukaa jela kuliko kuachiwa huru chini ya utawala wa ubaguzi wa rangi wa makaburu wa Afrika Kusini.

Karibu JF
 
asante ila humu sio wote waislam
. Asante Sir ingawa mimi pia sio ila tafsiri hii aliipenda Bw Yesu pale aliposalimu kwa kusema amani iwe nanyi .Praize the Lord,Glory to God.hapo sawa mkuu?
 
Poleni wanajf kwa msiba wa mwanamapinduzi wa afrika Nelson Mandela aliyekubali kuendelea kukaa jela kuliko kuachiwa huru chini ya utawala wa ubaguzi wa rangi wa makaburu wa Afrika Kusini.

Karibu sana JF.
 
Back
Top Bottom