Hodiii wana JF

Hodiii wana JF

Old Granny

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Posts
392
Reaction score
555
Habari wana jf!
Siku izi zama zimebadilika sana, hadi kina bibi tunajua na bdo tunaendelea kujifunza ktumia mitandao..
Mim n bibi wa mwendokasi,
Naomba mnipokee kwa mikono mi2.

Povu ruksa,nataka nikafulie [emoji23] [emoji23] .

Ujumbe..Ng'ombe hazeeki maini, nayawexa yote.
 
Hahahahahh looh kibibi mwenzangu karibu jukwaani. Mie humu nafaamika kama Kasie Matata aka Kasinde pia kama kigagula.

Haya ngoja na wengine kila mmoja atajitambulisha mwenyewe kwa wataopenda. Basi utajisevia jukwaa utalolipenda uwe unashinda unalala na kula hukohuko. Mababu pia wako humu ila bado wako imara usipokuwa macho inanasa kweupee hivi unajiona.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] , gusa inase.
 
Hahahahahh looh kibibi mwenzangu karibu jukwaani. Mie humu nafaamika kama Kasie Matata aka Kasinde pia kama kigagula.

Haya ngoja na wengine kila mmoja atajitambulisha mwenyewe kwa wataopenda. Basi utajisevia jukwaa utalolipenda uwe unashinda unalala na kula hukohuko. Mababu pia wako humu ila bado wako imara usipokuwa macho inanasa kweupee hivi unajiona.
Yan nimefurahii ..nilijua nipo peke yngu..asante kassie matata...nafikiri utakuwa matata kweli kama jna lako[emoji23]
Ndo nishakaribia kuja kula vinono vya jamii forum
 
Back
Top Bottom