Hodiii

Hodiii

Mi mgeni hapa JF.....nikaribisheni basi.
Karibu sana Mkuu.

Usisite kunitafuta kwa msaada zaidi kama kuna jambo linakutatiza humu.

Ukifika tena usipishe hodi, pitiliza Chumbani.
 
Karibu mrembo, jisikie upo nyumbani, kama kuna jambo unataka kulijua zaidi kuhusu jf ni pm
 
Huku JF hawafupishi maneno bila mpangilio mama. Watakunyoosha, andika neno likiwa mzima kabisa.

Wengine hawaelewi unamaanisha nini na huenda wakafikiri unawaandikia kihuni.

Badala ya kuandika tnx andika tu 'Thanks'
Anhaa sawa
 
Back
Top Bottom