Hodiii

Niseme hapa kweli jamanii?!

We sawa tuu aki na uchoyo wako. Mungu hapendi
Itakulazimu tu usemee hapa maana chumbani kwako ulishanipiga marufuku nisikanyage

Hahahahaaaa

Kwako sina choyo wala nini
 
Mngh! Mngh! Mngh!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…