Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamaa kasie mda sana upo ww. Nakujua since 2017
Cjui we upo Kama zaman kind kile uko umejaa mahaba na kijana flan hv nikiw likizo nakuta poem za kasie nyng kwa someone..,. Ila jf imebadlk xana mpk lala 01 cmuon tens😢😢😢Shuleni ulikuwa mwizi wa nini?
Mie mgeni kisoda humu bado nna kikuku jiguuni, maana 2017 nlikuwa sijazaliwa aahahahahahaa.
Cjui we upo Kama zaman kind kile uko umejaa mahaba na kijana flan hv nikiw likizo nakuta poem za kasie nyng kwa someone..,. Ila jf imebadlk xana mpk lala 01 cmuon tens😢😢😢
Ckuepo kam member nilikua as guest tu mwak huu nkaamua nijiunge rasmi