Hodiii..

Hodiii..

nyarwaka

Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
51
Reaction score
8
Kwanza nawapa pole kwa mihangaiko ya kutwa ya ujenzi wa taifa letu. Naamini mwisho wa yote ni kujenga taifa lenye ustawi imara kwa manufaa ya wote. Pili naombeni mnipokee kwa furaha ktk jukwaa hiki. Permorejah sana.
 
Kwanza nawapa pole kwa
mihangaiko ya kutwa ya ujenzi wa taifa letu. Naamini mwisho wa yote ni
kujenga taifa lenye ustawi imara kwa manufaa ya wote. Pili naombeni
mnipokee kwa furaha ktk jukwaa hiki. Permorejah sana.

yaani kuingia na kuingia tu unakuja na swaga za kibongo fleva,eti permorejah sana,dogo angalia wewe,ila karibu sana mzee mzima,uwanja ni wako,una lolote jipyaa??
 
kwani neno permojah lina athari gani mkuu? Any way asante kwa ukaribisho wako. Nazd kunena tena tuko pamoja.
 
Hata mimi hilo neno limenichanganya kidogo,nilifikiri ameandika kihindi
 
kwani neno permojah lina athari gani mkuu? Any way asante kwa ukaribisho wako. Nazd kunena tena tuko pamoja.

Hapo umepatia sasa,haya karibu sana mzee mzima,tunahitaji nondo zenu makamanda
 
Back
Top Bottom