Hodiii !!!!!!!!!!

Hodiii !!!!!!!!!!

Ndeye

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
214
Reaction score
82
Jamani naomba kuingia,
Wakubwa shikamooni, wadogo marahaba.
Mimi ni mgeni humu wa kuandika chochote ila ni mwenyeji wa kusoma. Naombeni ruhusa yenu kuingia humu.:help:

Nawasilisha.
 
Marahaba, mzima lakini?..nakukaribisha, hapa ni mwendo wa hoja, kama wakikuudhi waombee, usiwatukane, jarb kuwa na hekima tu, vinginevyo utamkasirikia mtu wala humfaham.

Umefanya uamzi bora kuungana na jamii pana ili uweze kushare mawazo yako...karib Ndeye..
 
Jamani naomba kuingia,
Wakubwa shikamooni, wadogo marahaba.
Mimi ni mgeni humu wa kuandika chochote ila ni mwenyeji wa kusoma. Naombeni ruhusa yenu kuingia humu.:help:

Nawasilisha.

Karibu sana. Nimeshindwa kuitikia salamu yako, kwa kuwa hujataja umri wako ili tujue kama tunakusalimia shikamoo au tunaitikia marahaba. Kama hutajali unaweza kutujulisha na jinsia yako pia.
 
Marahaba, mzima lakini?..nakukaribisha, hapa ni mwendo wa hoja, kama wakikuudhi waombee, usiwatukane, jarb kuwa na hekima tu, vinginevyo utamkasirikia mtu wala humfaham.

Umefanya uamzi bora kuungana na jamii pana ili uweze kushare mawazo yako...karib Ndeye..

Ahsante Mkuu nimeshakaribia na nimekusikia na kukuelewa.
 
Mkuu nimeshaanza kuwa na mvi kichwani, hivyo nastahili shikamoo afu ni ke.
 
Ahsante, hawajambo wanakusalimia. Niliwadokeza nataka kuja huku wakaniambia nina hamu ya ku shushuliwa. Eti ni kweli?

ushushuliwe kwa lipi? Ndeye
au umenyea kambi ulikotoka unahofia kurudi?
 
Last edited by a moderator:
ushushuliwe kwa lipi? Ndeye
au umenyea kambi ulikotoka unahofia kurudi?

Hapana Mkuu, mm ndiyo kwanza nimeanzia huku. Huwa tunasoma sana mambo ya huku, kuna mazuri, mabaya na ma shushu. Ila napenda sana kusoma na najifunza mengi sana huku.
 
Hapana Mkuu, mm ndiyo kwanza nimeanzia huku. Huwa tunasoma sana mambo ya huku, kuna mazuri, mabaya na ma shushu. Ila napenda sana kusoma na najifunza mengi sana huku.

jukwaa lipi hasa lilikuvutia mpaka ukajoin jf?
 
Back
Top Bottom