Hodiii

Hodiii

mwidiwe

Member
Joined
Jul 22, 2014
Posts
19
Reaction score
4
Mie mgeni humu jamvini naomba mnikaribishe, nipo teyari kupokea marekebisho. Wahenga walisema kuku mgeni hakosi kamba mguuni. Asanteni.
 
Asanteni sana nimewaletea dagaa (mteke) watu wa mwambao wa ziwa Tanganyika wanaufahamu.
 
Back
Top Bottom