Hodiii

Hodiii

msoloboko

New Member
Joined
May 12, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Salaam Great thinkers, Mimi ni mgeni humu ndani,naomba mnipokee,nimekuwa nikiingia Kama mgeni kwa muda mrefu lakini nimeona sio mbaya nami nikijiunga, na JF, naomba kuwasilisha.
 
Tatizo ni kuwa hatuwezi kuandika hoja hiyo hiyo kwa kiingereza na Kiswahili. Labda wa ndugu tuamue kuwa hapa pa Kiswahili lugha inayotumika ni Kiswahili peke yake.. na hapo ianzishwe kona nyingine isemayo "Politics" na mijadala yote kule iwe ya lugha ya wenzetu... tusije kuwa kama Bunge la Tanzania...

Karibu....jina lako lina maana gani?
 
Salaam Great thinkers, Mimi ni mgeni humu ndani,naomba mnipokee,nimekuwa nikiingia Kama mgeni kwa muda mrefu lakini nimeona sio mbaya nami nikijiunga, na JF, naomba kuwasilisha.

Karibu sana jamvini
 
Back
Top Bottom