Mao ze dong
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 941
- 1,012
Poleni na majukumu?
Kuku mgeni kaingia mjni ila msinifunge kamba,lyf la hapa linaonekana litam,THIS IS THE BEST PLACE TO BE
naomba mnipokee,nikitaka kupata notification nafanyaje?
karibu sana jamvini mgeni, taratibu utaelewa taratibu zetu za humu ndani.
karibu pita mpaka chumbani
wewe ni mao ze dong wa Bongo au China?
We nan?