Hi JF members,
Nimeijua JF muda mrefu, na nimekuwa nikiwasoma sana. Yapo mengi ya kujifunza hapa mahali ikiwa ni pamoja na kuvumilia matusi au watu wenye mawazo tofauti na yako.
Naipenda JF na ninawapenda wana JF ndio maana nikaona niungane nanyi so that we can exchange different issues rather than just reading without putting my idea contribution.
Tafadhali nipokeeni ili niwe mmoja wenu.
I. M.