Hodiiiii mimi mgeni

Hodiiiii mimi mgeni

Karibu sana jf. Na pia usihofu kabisa kuhusu lile suala lako la mtoto. Utapata wengi mpaka uwakatae mwenyewe. Mimi ni mganga wa kienyeji! Dawa zangu hazibahatishi!
 
Karibu mgeni mie ndio mwenyekiti na mweka hazina wa JF. Njoo PM tuyajenge utaishi kwa raha sana humu na hata posho ndogo ndogo utapata
 
Karibu mgeni mie ndio mwenyekiti na mweka hazina wa JF. Njoo PM tuyajenge utaishi kwa raha sana humu na hata posho ndogo ndogo utapata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39]
 
Weka picha yako hapa kabla haujafutwa kuwa member
 
Habari new member
Unahitajika uweke picha yako full pia na weka cheti chako chakuhitimu masomo yako mwisho utamalizia kitambulisho chako cha taifa .

an order from mods
Asante
 
Back
Top Bottom